Hesabu 16:27 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200227 Watu wakaondoka kwenye makao ya Kora, Datani na Abiramu. Datani na Abiramu wakatoka katika mahema yao na kusimama kwenye mulango wakiandamana na wake zao na watoto wao wote hata wale wanaonyonya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |