24 Uwaambie watu waondoke karibu na makao ya Kora, Datani na Abiramu.
Kisha Kora mwana wa Isihari mwana wa Kohati mwana wa Lawi, akatwaa watu pamoja na watu watatu wa ukoo wa Rubeni: Datani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni mwana wa Peleti.
Mujitenge na watu hawa, niwaangamize sasa hivi.
Yawe akamwambia Musa:
Basi, Musa akaenda kwa Datani na Abiramu, akifuatwa na wazee wa Israeli.