Hesabu 16:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Kisha Kora mwana wa Isihari mwana wa Kohati mwana wa Lawi, akatwaa watu pamoja na watu watatu wa ukoo wa Rubeni: Datani na Abiramu, wana wa Eliabu, na Oni mwana wa Peleti. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |