6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliopondwa na litre moja na nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya vyakula,
Kama sadaka yake ni mbuzi, basi atamutolea mbele ya Yawe
basi, yule anayetoa sadaka yake, atamuletea vilevile Yawe sadaka ya vyakula ya kilo moja ya unga laini uliopondwa na kuchanganywa na litre moja ya mafuta.
Toa litre moja ya divai kama sadaka ya kinywaji kwa kila mwana-kondoo wa sadaka ya kuteketezwa kwa moto au sadaka ingine.
pamoja na sadaka ya kinywaji ya litre moja na nusu ya divai, na kufanya harufu nzuri ya sadaka ya kumupendeza Yawe.