Hesabu 13:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024-15 Haya ndiyo majina ya watu hao kulingana na makabila yao: Kabila la Rubeni: Samua mwana wa Zakuri. Kabila la Simeoni: Safati mwana wa Hori. Kabila la Yuda: Kalebu mwana wa Yefune. Kabila la Isakari: Igali mwana wa Yosefu. Kabila la Efuraimu: Hosea mwana wa Nuni. Kabila la Benjamina: Palti mwana wa Rafu. Kabila la Zebuluni: Gadieli mwana wa Sodi. Kabila la Yosefu (ni kusema kabila la Manase): Gadi mwana wa Susi. Kabila la Dani: Amieli mwana wa Gemali. Kabila la Aseri: Seturi mwana wa Mikaeli. Kabila la Nafutali: Nabi mwana wa Wofusi. Kabila la Gadi: Geueli mwana wa Maki. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |