Hesabu 11:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Watu walizungukazunguka na kuikusanya, kisha waliisaga kwa mawe ya kusagia au waliitwanga katika vinu, halafu waliitokotesha ndani ya vyungu na kutengeneza maandazi. Onjo yake ilikuwa kama ya maandazi yaliyokaangwa kwa mafuta. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |