Hesabu 11:31 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200231 Nyuma ya pale, Yawe akavumisha upepo kwa rafla, ukaleta kwale kutoka katika bahari na kuwafanya watue kando ya kambi, mwendo wa siku moja hivi kila upande kuzunguka kambi, wakalundikana chini karibu metre moja hivi kwenda juu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |