Hesabu 11:26 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200226 Wazee wawili kati ya wale makumi saba waliochaguliwa, Eldadi na Medadi, walikuwa wamebaki katika kambi wenzao walipokwenda kwenye hema. Roho iliwafikia humohumo ndani ya kambi, wakaanza kutoa unabii pahali walipokuwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |