27 Naye Ahira mwana wa Enani, aliongoza kabila la Nafutali.
Pagieli mwana wa Okrani, aliongoza kabila la Aseri.
Huu basi, ndio utaratibu Waisraeli waliofuata kulingana na makundi yao, kila wakati walipovunja kambi na kuanza kusafiri tena.