26 Pagieli mwana wa Okrani, aliongoza kabila la Aseri.
Mwisho, wale waliokuwa chini ya bendera ya jeshi lililoongozwa na kabila la Dani, waliokuwa kama walinzi nyuma ya majeshi yote, wakasafiri, kundi moja nyuma ya lingine. Hawa waliongozwa na Ahiezeri mwana wa Amishadai.
Naye Ahira mwana wa Enani, aliongoza kabila la Nafutali.