Hesabu 10:25 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200225 Mwisho, wale waliokuwa chini ya bendera ya jeshi lililoongozwa na kabila la Dani, waliokuwa kama walinzi nyuma ya majeshi yote, wakasafiri, kundi moja nyuma ya lingine. Hawa waliongozwa na Ahiezeri mwana wa Amishadai. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |