24 naye Abidani mwana wa Gideoni, aliongoza kabila la Benjamina.
Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kabila la Manase,
Mwisho, wale waliokuwa chini ya bendera ya jeshi lililoongozwa na kabila la Dani, waliokuwa kama walinzi nyuma ya majeshi yote, wakasafiri, kundi moja nyuma ya lingine. Hawa waliongozwa na Ahiezeri mwana wa Amishadai.