23 Gamalieli mwana wa Pedasuri aliongoza kabila la Manase,
Nyuma ya hao, wakafuata watu waliokuwa chini ya bendera ya jeshi lililoongozwa na kabila la Efuraimu, kundi moja nyuma ya lingine. Kiongozi wao alikuwa Elisama mwana wa Amihudi.
naye Abidani mwana wa Gideoni, aliongoza kabila la Benjamina.