20 Naye Eliasafu mwana wa Deueli, aliongoza kabila la Gadi.
Selumieli mwana wa Suri-Shadai, aliongoza kabila la Simeoni.
Kisha walifuata watu wa ukoo wa Kohati, wakiwa wamebeba vyombo vitakatifu. Walipofika, hema lilikuwa limekwisha kusimikwa.
Halafu kabila la Gadi, kiongozi wao akiwa Eliasafu mwana wa Reueli,