19 Selumieli mwana wa Suri-Shadai, aliongoza kabila la Simeoni.
Halafu, watu waliokuwa chini ya bendera ya jeshi lililoongozwa na kabila la Rubeni, wakafuata kundi moja nyuma ya lingine. Kiongozi wao alikuwa Elisuri mwana wa Sedeuri.
Naye Eliasafu mwana wa Deueli, aliongoza kabila la Gadi.