16 Naye Eliabu mwana wa Heloni, alikuwa kiongozi wa jeshi la kabila la Zebuluni.
Netaneli mwana wa Suari, alikuwa kiongozi wa jeshi la kabila la Isakari.
Kisha, hema likashushwa, na watu wa ukoo wa Gersoni na wa Merari ambao walilibeba, walianza kuondoka.