15 Netaneli mwana wa Suari, alikuwa kiongozi wa jeshi la kabila la Isakari.
Wale waliokuwa chini ya bendera ya jeshi la kabila la Yuda, wakatangulia, kundi moja kisha lingine. Kiongozi wao alikuwa Nasoni mwana wa Aminadabu.
Naye Eliabu mwana wa Heloni, alikuwa kiongozi wa jeshi la kabila la Zebuluni.