Hagai 2:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Siku hiyo, nitakutwaa wewe Zerubabeli mwana wa Saltieli, mutumishi wangu. –Ni ujumbe wa Yawe wa majeshi! Nitakusimika utawale kwa jina langu. –Ni ujumbe wa Yawe! Wewe ndiwe niliyekuchagua. –Ni ujumbe wa Yawe wa majeshi! အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |