Ezra 8:34 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200234 Kila kitu kilihesabiwa na kupimwa na wakati huo uzito wa kila kitu uliandikwa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Kisha, watu wote waliorudi kutoka katika uhamisho wakamutolea Mungu wa Israeli sadaka zao za kuteketezwa kwa moto. Wakatoa ngombe dume kumi na wawili kwa ajili ya Israeli yote, kondoo dume makumi kenda na sita na wana-kondoo makumi saba na saba; vilevile walitoa mbuzi kumi na wawili kama sadaka ya kusamehewa zambi. Nyama wote hawa walitolewa kuwa sadaka ya kuteketezwa kwa Yawe.