Ezra 2:70 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200270 Basi, makuhani, Walawi na watu wengine wamoja wakaanza kuishi katika Yerusalema na katika vijiji vyake. Nao waimbaji, walinzi wa hekalu na watumishi wa hekalu wakaanza kuishi katika miji yao; Waisraeli wote wakaishi katika miji yao. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |