39 wa ukoo wa Harimu: elfu moja na kumi na saba.
Wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia.
Wazao wa Harimu: Maseya, Elia, Semaya, Yehieli na Uzia.
Walawi wa ukoo wa Yesua na wa Kadimieli, wazao wa Hodavia waliorudi kutoka katika uhamisho walikuwa makumi saba na wane.
wa ukoo wa Harimu: elfu moja na kumi na saba.