36 Hii ndiyo jumla ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: wa ukoo wa Yedaya waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;
Hawa ndio makuhani walioishi Yerusalema: Yedaya, Yoyaribu na Yakini,
Hawa ndio makuhani waliooa wanawake wa kigeni: Wazao wa Yesua, wana wa Yehosadaki na wandugu zake: Maseya, Eliezeri, Yaribu na Gedalia.
Wazao wa Imeri: Hanani na Zebadia.
Wazao wa Harimu: Maseya, Elia, Semaya, Yehieli na Uzia.
Wazao wa Pashuri: Eliyoenayi, Maseya, Isimaeli, Netaneli, Yozabadi na Elasa.
wa muji wa Sena: elfu tatu mia sita na makumi tatu.
Yesua, wana wake na jamaa yake, pamoja na Kadimieli na wana wake, (wa ukoo wa Yuda) walishirikiana kwa kusimamia ujenzi wa nyumba ya Mungu. Wakasaidiwa na wazao wa Henadadi na wandugu zao Walawi.
Hii ndiyo hesabu ya makuhani waliorudi kutoka katika uhamisho: makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazao wa Yesua: mia tisa makumi saba na watatu;