30 Wazao wa Pahati-Moabu: Adina, Kelali, Benaya, Maseya, Matania, Besaleli, Binui na Manase.
Wazao wa Bani: Mesulamu, Maluki, Adaya, Yasubu, Seali na Yeremoti.
Wazao wa Harimu: Eliezeri, Isia, Malkia, Semaya, Simeoni,
wa ukoo wa Pahati-Moabu, maana yake wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane kumi na wawili;
ukoo wa Pahati-Moabu, ni kusema wazao wa Yesua na Yoabu: elfu mbili mia nane na kumi na wanane;
Mimi nimemuchagua Bezaleli mwana wa Uri mwana wa Huri, wa kabila la Yuda