Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Ezra 10:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

23 Kati ya Walawi kulikuwa: Yozabadi, Simei, Kelaya (aliyejulikana pia kwa jina la Kelita), Petahia, Yuda na Eliezeri.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Ezra 10:23
6 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Wazao wa Pashuri: Eliyoenayi, Maseya, Isimaeli, Netaneli, Yozabadi na Elasa.


Kati ya waimbaji kulikuwa: Eliasibu. Walinzi wa milango: Salumu, Telemu na Uri.


Katika siku ya ine, tukiwa ndani ya nyumba ya Mungu wetu, tukapima ile feza, zahabu na vile vyombo, kisha tukavipatia kuhani Meremoti mwana wa Uria. Meremoti alikuwa pamoja na Eleazari mwana wa Finehasi, na Walawi wawili, Yozabadi mwana wa Yesua, na Noadia mwana wa Binui.


Walawi: Yesua mwana wa Azania, Binui wa uzao wa Henadadi, Kadimieli na wandugu zao: Sebania, Hodia, Kelita, Pelaya, Hanani, Mika, Rehobu, Hasabia, Zakuri, Serebia, Sebania, Hodia, Bani, Beninu.


Sabetayi na Yozabadi, wakubwa wa ukoo wa Walawi, walikuwa wasimamizi wa kazi za inje ya nyumba ya Mungu,


Walawi hawa ndio walisaidia kuwaelewesha watu Sheria: Yesua, Bani, Serebia, Yamini, Akubu, Sabetayi, Hodia, Maasea, Kelita, Azaria, Yozabadi, Hanani na Pelaya; na kila mumoja akiwa akisimama pale alipokuwa.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ