Ezra 10:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Halafu Sekania mwana wa Yehieli, wa ukoo wa Elamu, akamwambia Ezra: “Tumekosa uaminifu kwa Mungu kwa kuoa wanawake wa kigeni wa inchi hii, lakini hata hivyo bado kuna tumaini kwa ajili ya Israeli. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |