Ezra 10:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Wakati Ezra alipokuwa anaomba na kuungama naye akilia na kujiangusha uso mpaka chini mbele ya nyumba ya Mungu, kundi kubwa la watu wa Israeli, wanaume, wanawake na watoto, wakakusanyika karibu naye wakilia kwa uchungu mwingi. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |