Esteri 9:5 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20025 Basi, Wayuda wakawashambulia waadui zao kwa upanga, wakawachinja, wakawaangamiza na kuwatendea kama walivyopenda. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |
Wajumbe wakazipeleka barua hizo kwa kila jimbo katika utawala ule. Tangazo hilo lilisema kwamba kwa siku moja tu, ni kusema siku ya kumi na tatu ya mwezi wa kumi na mbili unaoitwa Adari, Wayuda wote – tangia kwa vijana mpaka wazee, wanawake na watoto, wote wauawe, waangamizwe na kuteketezwa kabisa, na mali zao zote zinyanganywe.