Esteri 9:24 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200224 Hamani mwana wa Hamedata wa ukoo wa Agagi na adui wa Wayuda alikuwa amefanya mupango juu ya Wayuda kwa kuwaangamiza, vilevile alikuwa amepiga purimu, ni kusema kura, kwa kuamua siku ya kuwaponda na kuwaangamiza Wayuda. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |