Esteri 4:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Malkia Esteri alipoarifiwa na matowashi na wajakazi wake habari za Mordekayi akahuzunika sana. Akamupelekea Mordekayi nguo za kuvaa kwa pahali pa nguo ya gunia, lakini Mordekayi akazikataa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |