Esteri 2:20 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200220 Esteri alikuwa bado hajatambulisha ukoo wala kabila lake kama vile Mordekayi alivyokuwa amemwonya asifanye. Naye Esteri akamutii kama alivyokuwa akimutii wakati wa utoto wake, alipolelewa naye. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |