Danieli 8:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Viumbe vya mbinguni vikatiwa chini ya mamlaka yake pamoja na sadaka za kuteketezwa kwa moto za kila siku, kwa ajili ya upotovu. Nao ukweli ukatupwa chini. Pembe dogo ile ikaiangusha chini ibada ya kweli. Ilifanikiwa katika kila jambo iliyofanya. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |