Danieli 6:23 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200223 Mungu wangu alileta malaika wake kwa kufunga vinywa vya simba hawa, nao hawakunizuru. Alifanya hivyo kwa sababu alijua mimi sina kosa lolote mbele yake na wala sijafanya jambo lolote baya mbele yako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |