Danieli 6:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Danieli alipojua kwamba ile sheria imetiwa sahihi, alirudi kwa nyumba yake kwenye gorofi katika chumba chake kilichokuwa na madirisha yaliyofunguka kuelekea Yerusalema. Humo, Danieli, kama ilivyokuwa kawaida yake, alipiga magoti mara tatu kila siku kwa kuomba na kumushukuru Mungu wake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |