Danieli 4:15 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200215 Hii ndiyo ndoto niliyoota mimi Nebukadneza. Sasa, wewe Beltesaza, unielezee maana yake; maana wenye hekima wote katika ufalme wangu hawawezi kuniambia maana yake; lakini wewe utaweza kwa maana roho ya miungu mitakatifu iko ndani yako. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |