Danieli 2:24 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200224 Basi, Danieli akamwendea Arioki aliyekuwa amechaguliwa kuwaangamiza wenye hekima wa Babeli, akamwambia: Usiwaue wenye hekima wa Babeli, lakini unipeleke mimi mbele ya mufalme, nami nitamweleza maana ya ndoto yake. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |