Danieli 12:4 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20024 Lakini sasa, Danieli, weka kwa siri mambo hayo; funga kitabu na kutia muhuri juu yake mpaka wakati wa mwisho utakapofika. Wengi watakimbilia huko na huko, na maarifa yataongezeka. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |