Danieli 11:30 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200230 Mashua kutoka Kitimu zitamushambulia, naye atashikwa na hofu. Kisha atarudi nyuma akiwa amejaa hasira na kuvunja agano takatifu. Halafu atafuata shauri la wale walioasi agano takatifu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |