Danieli 10:6 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20026 Mwili wake ulingaa kama zabarajadi safi. Uso wake ulifanana na umeme, na macho yake yaliwaka kama ndimi za moto. Miguu na mikono yake ilingaa kama shaba iliyosafishwa sana. Sauti yake ilivuma kama sauti ya kundi kubwa la watu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |