Danieli 10:16 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200216 Kisha, kiumbe kimoja chenye umbo la mutu, kiliigusa midomo yangu, nami nilifungua midomo yangu na kumwambia huyo aliyesimama karibu nami: Ee bwana, maono haya yameniletea maumivu makali hata nimeishiwa nguvu. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |