Danieli 10:12 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200212 Kwa hiyo yeye akaniambia: Danieli, usiogope. Mungu alisikia maombi yako tangu siku ile ya kwanza ulipoamua kujinyenyekeza mbele yake kusudi upate ufahamu. Mimi nimekuja kwa ajili ya maombi yako hayo. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |