Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




Amosi 9:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

2 Hata wakijichimbia njia ya kwenda kuzimu, nitawakamata kule kwa mukono wangu; hata wakipanda juu mbinguni, nitawaporomosha chini.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




Amosi 9:2
15 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Mwovu akiweza kupanda hata kufikia mbingu, na kichwa chake kufika kwenye mawingu,


Lakini wewe unasema: “Mungu anajua nini? Anaweza kupenya mawingu na kutoa hukumu?


Anawaacha waovu wajione salama, lakini macho yake yanachunguza mienendo yao.


Kuzimu kuko wazi kabisa mbele ya Mungu. Shimo la kuangamia halina kifuniko chochote.


Hakuna weusi wala giza kubwa ambamo watenda maovu wanaweza kujificha.


Muingie katika mapango chini ya mawe, katika mashimo ndani ya udongo, kwa kuepuka kitisho cha Yawe, mbali na mwangaza wa utukufu wake, atakapokuja kuogopesha dunia.


Vitisho unavyotoa na kiburi chako vimekudanganya, ewe unayekaa katika mapango ya mawe, unayeishi juu ya kilele cha mulima! Ingawa unaweka makao yako juu kama ya tai, mimi nitakuporomosha kutoka huko unakokuwa. –Ni ujumbe wa Yawe.


Ingawa Babeli ungepanda mpaka mbinguni, na kuziimarisha kuta zake ndefu, waangamizaji watakuja kutoka kwangu kwa kuuharibu. –Ni ujumbe wa Yawe.


Nitakuteremusha ndani ya shimo kusudi ujiunge na wale wanaokuwa huko, walioishi zamani katika dunia; utakaa kule katika matongo kwa milele. Hautakaliwa na watu milele na hautakuwa na nafasi katika inchi za wanaokuwa wazima.


Hayo yameupata kusudi muti wowote unaokuwa pahali penye maji usiweze kurefuka tena kwa kimo hicho wala kukifikisha kilele chake katika mawingu. Muti wowote unaokunyweshwa maji usiweze tena kufikia urefu huo. Kwa maana kila kitu mwisho wake ni kifo; hata na watu vilevile. Wote watashiriki hali ya wanaoshuka katika shimo kwa wafu.


Hata ukiruka juu kama tai, ukifanya makao yako kati ya nyota, mimi nitakushusha chini tu. –Ni ujumbe wa Yawe.


Naye Yesu akamwambia: “Nilimwona Shetani akianguka kama umeme toka mbinguni.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ