Amosi 4:11 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200211 Niliwaangusha wamoja kati yenu kwa maangamizi kama nilivyoangamiza Sodoma na Gomora. Wale waliobaki kati yenu, walikuwa kama kijiti kilichookolewa katika moto. Hata hivyo hamukunirudilia. –Ni ujumbe wa Yawe.– အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |