2 Yoane 1:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Barua hii inatoka kwangu mimi muzee. Ninakuandikia wewe mama uliyechaguliwa na Mungu, pamoja na watoto wako ninaowapenda hakika. Wala si mimi peke tu ninayewapenda, lakini vilevile wale wote wanaojua ule ukweli wanawapenda ninyi, အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |