Biblia Todo Logo
အွန်လိုင်း သမ္မာကျမ်းစာ

- ကြော်ငြာတွေ -




2 Wakorinto 9:3 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002

3 Lakini sasa ninawatumia wandugu hawa kusudi kujisifu kwetu kwa ajili yenu kusionekane kuwa bure. Kwa hiyo ninataka mukuwe tayari kama vile nilivyosema.

အခန်းကိုကြည့်ပါ။ ကော်ပီ




2 Wakorinto 9:3
7 ပူးပေါင်းရင်းမြစ်များ  

Mimi nimejivuna kidogo mbele yake kwa ajili yenu, nami sikupata haya. Lakini kama vile tulikuwa tunawaambia kila mara ukweli, vilevile kule kujisifu kwetu kwa ajili yenu mbele ya Tito, kumeonekana kuwa kwa kweli.


Mimi ninawaaminia sana na kujivuna kwa ajili yenu. Katika mateso yetu yote, ninafarijiwa sana na kujazwa na furaha.


Ni kwa hiyo tulimusihi Tito atimize kazi hiyo ya kuwaongoza ninyi kuwa na moyo wa kutoa sawa alivyoianzisha.


Uwakumbushe watu wajinyenyekeze mbele ya watawala na wakubwa. Wanapaswa kuwatii na kuwa tayari kwa kufanya kila tendo zuri.


ကြှနျုပျတို့နောကျလိုကျပါ:

ကြော်ငြာတွေ


ကြော်ငြာတွေ