2 Wakorinto 5:1 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20021 Kwa maana, tunajua kwamba hema hii tunayoishi ndani yake hapa katika dunia, maana yake mwili wetu, itakapobomolewa, Mungu atatupatia makao mengine mbinguni. Nayo ni nyumba aliyoijenga yeye mwenyewe na inayodumu milele. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |