2 Wakorinto 13:10 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 200210 Ni kwa hiyo ninawaandikia maneno haya nikiwa mbali nanyi, kusudi wakati nitakapokuwa kati yenu nisitende kwa ukali kadiri ya mamlaka Bwana aliyonipa. Kwa maana uwezo ule ni kwa ajili ya kuwajenga katika imani, lakini si wa kubomoa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |