2 Wakorinto 10:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Kwa maana sioni haya hata kama nimejivuna zaidi kwa ajili ya uwezo Bwana aliotupatia sisi. Kwa maana uwezo ule ni kwa ajili ya kuwajenga katika imani, lakini si wa kubomoa. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |