2 Wafalme 24:8 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20028 Yoyakini alikuwa na umri wa miaka kumi na minane alipoanza kutawala. Alitawala akiwa Yerusalema kwa muda wa miezi mitatu. Mama yake aliitwa Nehusta, binti ya Elnatani, mukaaji wa Yerusalema. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |