5 Basi mambo mengine ya Yoyakimu na yote aliyofanya yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Siku za Wafalme wa Yuda.
Mambo mengine ya Rehoboamu na yote aliyofanya yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Siku za Wafalme wa Yuda.
na kwa sababu ya damu isiyokuwa na kosa aliyoimwanga. Yawe hakumusamehe makosa hayo.
Yoyakimu akakufa, na mwana wake Yoyakini akatawala kwa pahali pake.
Mambo mengine ya Yehoramu na yote aliyofanya yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Siku za Wafalme wa Yuda.
Basi matendo mengine ya Yoyakimu, pamoja na machukizo aliyotenda na mambo mengine yaliyoonekana juu yake yameandikwa katika Kitabu cha Wafalme wa Israeli na Yuda; naye Yoyakini mwana wake akatawala pahali pake.