2 Wafalme 15:2 - BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 20022 Alikuwa na umri wa miaka kumi na sita alipoanza kutawala. Alitawala kwa muda wa miaka makumi tano na miwili akiwa kule Yerusalema. Mama yake aliitwa Yekolia wa Yerusalema. အခန်းကိုကြည့်ပါ။ |